Ukaribisho

profile

Dkt. Joseph G Kimaro
Medical Officer Incharge(MOI) MMed (Obstetric & Gynaecology)

Karibu kwenye tovuti rasmi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke (TRRH). Tunafurahi kuwa umetembelea tovuti yetu na tunakualika kujifunza zaidi kuhusu TRRH na kuchunguza fursa zilizopo kupitia hospitali yetu. Tovuti hii ni chombo muhimu kutusaidia kuwasiliana nawe. TRRH inajumuisha ...

Read more

health education All

NINI NI KWELI NA NINI SI KWELI KUHUSU UGONJWA WA INI UNAOITWA HEPATITIS

Kuelekea Siku ya Ini Duniani, Tarehe 28/07/2023.
Tujifunze nini ni kweli ni nini si kweli kuhusu ugonjwa wa Ini unaoitwa “Hepatitis”

Si kweli: Hepatitis inaambukizwa kwa kujamiiana tu.

Kweli: inaambukizwa kwa kujamiiana bila kinga na mtu aliye...




read more

JE UNAJUA UKIPIGA MSWAKI HUTAKIWI KUSUKUTUA?

Je Unajua Ukipiga Mswaki Hutakiwi Kusukutua? Dr. Nasriya Ali, Anaelezea Jinsi ya Kupiga Mswaki Sahihi kwa Afya Bora ya Kinywa na Meno.*Unapofikiria kuhusu utunzaji wa afya ya kinywa, moja ya mazoea ya kila siku ambayo usipopiga kwa usahihi yanaweza kuathi...

read more
FAHAMU KIPIMO HUSIKA CHA KUTAMBUA UGOJWA WA SIKO SELI (SICKLE CELL)

Selimundu/Siko seli

(Sickle cell) ni Ugonjwa wa kurithi, unaotokana na uwepo wa seli  za damu zenye umbo tofauti na la kawaida. Mtu mwenye tatizo hili huwa na changamoto ya kupungukiwa damu mara kwa mara , maumivu ya kichwa, viungo, pamoja na misuli... read more

SIKO SELI(SICKLE CELL) NI NINI? JE UNAFAHAMU KIPIMO SAHIHI CHA SIKO SELI?

Selimundu(Sickle cell) ni Ugonjwa wa kurithi, unaotokana na uwepo wa seli  za damu zenye umbo tofauti na la kawaida. Mtu mwenye tatizo hili huwa na changamoto ya kupungukiwa damu mara kwa mara , maumivu ya kichwa, viungo, pamoja na misuli.

Katika kuu...

read more

Ministry Content All

Matangazo All