Nafikaje Temeke RRH

Kutokea eneo lolote la Jiji la Dar Es Salaam ulizia Temeke ilipo na ni mwendo wa dk kumi kutoka kituo cha polisi Temeke.