Matangazo

ORODHA YA CLINICS KATIKA HOSPITALI YA RRH TMK

NA

 JINA LA CLINIC (IN ENGLISH AND SWAHILI)

Siku za Clinic 

Time Kliniki ya Kufanya (Kuanzia --- hadi…..)

1

Surgery Clinic (kliniki ya upasuaji)

Jumatano na

Alhamisi

8am – 3.30pm

     ,,   -  ,,

2

ENT Clinic  (clinic ya masikio ,pua na koo)

Jumatatu na J’nne


J’tano & Ijumaa

9am – 1pm & 8pm to 5pm


9am – 1pm & 8pm to 5pm

3

Paediatric clinic (kliniki ya watoto)

Jumanne

Ijumaa

9am – 12pm

4

Neonatal Clinic (watoto chini ya mwezi mmoja)

Jumatano

9am - 12pm

5

Kangaroo Mother Care (KMC) clinic (klinik ya watoto waliozaliwa na uzito pungufu/matunzo ya watoto wachanga kwa njia ya kangaroo)

Alhamisi

12pm – 3.30pm

6

Internal medicine (kliniki ya magonjwa ya ndani)

Jumatatu & Ijumaa

9am – 3.30pm

7

Urology clinic (kliniki ya magonjwa ya mikojo)

Jumatano na

Alhamisi

8am – 3.30pm

8

Anaesthetiology clinic (kliniki ya tiba ya usingizi)

Jumanne na Ijumaa

9.am – 3.pm

9

Gynaecological clinic (klinik ya magonjwa ya akina mama)

Jumatatu na Alhamisi

9am – 2pm

10

Orthopedic and Traumatology clinic (klinik ya magonjwa ya ajali na upasuaji wa mifupa)

Jumatatu & Ijumaa

9am – 3.30pm

 

11

Hematology clinic (kliniki ya magonjwa ya damu)

Jumanne & Ijumaa

9am – 3.30pm

12

Dermatovenereology clinic (kliniki ya magonjwa ya ngozi na magonjwa ya ngono)

Jumatatu hadi Ijumaa

9am -900pm

13

Dental clinic (kliniki ya meno)

Jumatatu hadi Ijumaa

7.30am – 3.30pm

14

Ophthalmology clinic (klinik ya macho

Jumatatu hadi Ijumaa

7.30am – 3-30pm

15

Physiotherapy clinic (kiliniki ya mazoezi ya viungo)

Jumatatu hadi Ijumaa

8am -6pm