KLINIKI YA KINYWA NA MENO
Posted on: October 6th, 2024
HUDUMA ZINAZOTOLEWA
i)Elimu na ushauri wa Afya ya kinywa na meno
ii) Kung’oa Meno
iii) Kuziba meno
iv) kusafisha na kung’arisha Meno
v) Kutengeneza meno Bandia ya kuvua na kutovua.
Vi) Upasuaji wa kinywa na meno
vii) kurudishia Taya zilizovunjika
viii)Kurekebisha taya na kupanga meno
ix) Kutengeneza vifaa vya kuvaa na kuvua kwa ajili ya kupanga meno
x) kuziba Meno kuanzia kwenye mizizi