KLINIKI YA MACHO
Posted on: January 26th, 2025
HUDUMA ZINAZOTOLEWA
Kitengo hiki kinatoa huduma za kibingwa kwa wagonjwa wote wenye matatizo ya macho kwa kufanya uchunguzi mbalimbali wa macho ikiwemo Uchunguzi wa ndani ya macho yaani FUNDOSCOPY, Vupima pressure ya macho, Vipimo vya uono hafifu yaani Refraction, Baadhi ya Huduma za upasuaji Idara hii ya Macho inaongozwa na Daktari Bingwa wa Macho Dr. Annamary Stanslaus.
MOTTO OF THE UNIT: YOUR VISION IS OUR CONCERN