Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sixtus Mapunda amewataka wananchi kuwa na utaratibu wa kuchangia damu wanapopata wasaa kwani ni kitendo cha kishujaa chenye lengo la kuokoa maisha ya wengine. ... Read More

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sixtus Mapunda amewataka wananchi kuwa na utaratibu wa kuchangia damu wanapopata wasaa kwani ni kitendo cha kishujaa chenye lengo la kuokoa maisha ya wengine. ... Read More
Tunakupongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Tunakutakia utendaji mwema katika majukumu yako mapya.... Read More
Dar es salaam, Tarehe 10 Oktoba 2023* Kila tarehe kumi ya mwezi wa kumi, Tanzania inaadhimisha Siku ya Afya ya Akili Duniani, na hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke imeo... Read More
TEMEKE HOSPITALI YAKUSANYA UNIT 290 KATIKA MASHINDANO YA POLISI JAMII CUPTemeke, Dar es Salaam, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imeshiriki Mashindano ya Polisi Jamii Cup ambayo yamekuwa ... Read More
*KAMBI YA MATIBABU YA TEMEKE HOSPITALI YATOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA BINGWA BOBEZI KWA WATU 636.* Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, kwa kushirikiana na Manispaa ya Wilaya ya Te... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imefanikiwa kufikia lengo la ukusanyaji damu kwa kupata unit 365 za damu leo katika zoezi la uchangishaji damu lililoandaliwa na hospitali hiyo kwa kushirik... Read More
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, upasuaji wa kutoa saratani ya figo bila kuondoa figo nzima umefanyika kitaalamu, upasuaji unaoitwa Nephron Sparing Ne... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke yaanza rasmi zoezi la utoaji wa chanjo ya UVIKO-19 kwa watu wenye vigezo. Vigezo vya kupata chanjo ni pamoja na: 1. Awe na Umri kuanzia miaka 50 na ku... Read More