Dar es salaam 4 Novemba, 2024 Menejimenti na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Rufaaa ya Mkoa Temeke leo wamepokea mafuzo maalumu ya namna bora ya kutunza na kuhifadhi nyaraka mbalimb... Read More
Habari
Menejimenti na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke leo wakiwa na furaha wamepokea gari maalumu aina ya basi lililonunuliwa kwa mapato ya ndani ya Hospitali litakalotumika... Read More
Dar es Salaam, 02 Oktoba, 2024 Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke mnamo tarehe 27 Septemba, 2024 imemfanyia upasuaji Zuwena Khamis Mwedadi mwenye umri wa miaka 51 mkazi wa D... Read More
Dar es Salaam, 26 Septemba, 2024 Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke Dkt. Joseph Kimaro amezungumza na watumishi wa Hospitali kutoka vitengo vyote ikiwa ni se... Read More
Dar es Salaam, 19 Septemba, 2024 Serikali imesema ubora wa huduma za Afya zinazotolewa na Serikali katika Hospitali za Rufaa za Mikoa nchini umekuwa na mchango mkubwa katika kupu... Read More
Dar es Salaam, 09 Septemba, 2024 Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke imefanikiwa kutoa chanjo ya Homa ya ini kwa watumishi 40 wa Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) ikiwa ni sehemu ya kuun... Read More
Dar es salaam 28 Agosti, 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt.John Jingu , ameyasema hayo Agosti 26, 2024 katika ziara yake ya kikazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Temeke ,... Read More
Dar es salaam, 27 Agosti 2024 Pongezi hizo zimetolewa na muwakilishi wa Mkurugenzi mkuu wa MSD ndugu Betia katika hafla fupi ya kuishukuru MSD kwa mchango wao mkubwa katika... Read More
Dar es salaam, 27 Agosti 2024 Katika kuhakikisha vifo vya mama na mtoto vinapungua hasa vinavyosababishwa na wagonjwa kuchelewa kufika Hospitali, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temek... Read More
Karibu uungane nasi katika matembezi ya Hisani “TRRH WALKATHON” yanayolenga kuchangisha fedha kwa ajili ya kununua vifaa maalumu vya kuhudumia watoto waliozaliwa kabla ya wakati na wenye uhi... Read More