"TRRH WALKATHON", UNGANA NASI KATIKA MATEMBEZI YA HISANI KWAAJILI YA WATOTO WALIOZALIWA KABLA YA WIKI 37
Posted on: July 3rd, 2024Karibu uungane nasi katika matembezi ya Hisani “TRRH WALKATHON” yanayolenga kuchangisha fedha kwa ajili ya kununua vifaa maalumu vya kuhudumia watoto waliozaliwa kabla ya wakati na wenye uhitaji wa uangalizi wa hali ya juu (ICU). Tarehe 27/07/2024
Matembezi hayo yana umbali wa aina mbili:
1. 5km
2. 8km
Uchangiaji:
- Ukichangia 35,000 Tsh utapata T-shirt, Medali, pamoja na Wrist band.
- Ukichangia 20,000 Tsh utapata T-Shirt pekee.
Namna ya Kujisajili:
1. Tumia lipa namba ya Tigo pesa: 15310786 kuchangia matembezi.
2. Tuma ujumbe ukieleza size ya T-shirt pamoja na umbali utakao tembea kwenda namba: 0777 883 750/0762 210 253/0752 903 704.
Karibu tujumuike pamoja katika kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya wiki 37 kupitia matembezi haya.