PONGEZI

Posted on: November 5th, 2023

Tunakupongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Tunakutakia utendaji mwema katika majukumu yako mapya.